0
 
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib bilal na mwenyeji wake Makamu wa Rais wa china Li Yuanchao  wakisimama kwa heshima wakati nyimbo za Taifa la Tanzania na kenya zikipigwa kwenye mapokezi yake katika ukumbi maalum wa watu wa china kwa ajili ya mazungumzo baada ya ziara yake Nchini China

 

Chapisha Maoni

 
Top