WATU WALEMAVU WAFUNGA BARABARA KARUME -ILALA JIJINI DAR ES SALAAM 0 06:36 Makundi ya watu wenye ulemavu wakijadiliana mambo wakisubiri hatma ya madai yao ya kutaka wapewe eneo la karume ili waweze kufanya biashara zao hali iliyopelekea njia hizo kufungwa na kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa Barabara hiyo. Umati wa watu wakionekana katika barabara ya uhuru na Kawawa, karume Jijini Dar es Salaam baada ya kuwepo kwa msongamano wa watu wenye ulemavu wa barabarani Imechapishwa na Unknown
Chapisha Maoni