
Watu waliojihami na silaha nchini
Somalia wamemuua kwa kumpiga risasi mbunge mmoja na kumjeruhi vibaya
mwingine kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishi.
Kundi la wanamgambo la Al-Shabaab limetekeleza mauaji ya wabunge wengi nchini Somalia wakati wanapojaribu kuipindua serikali ya Somalia inayotambuliwa kimataifa.
Chapisha Maoni