
Klabu ya soka ya England Norwich
City imefanikiwa kurejea katika ligi kuu ya nchi hiyo baada ya kuibanjua
Middlesbrough kwa jumla ya bao 2-0.
Katika mtanange huo uliopigwa katika dimba la Wembley, takribani mashabiki elfu thamanini na tano walikuwepo uwanjani wakishuhudia vijana hao wa mji wa Norwich wakirejea tena ligi kuu na kuungana na wenzao Bournemouth na Watford ambazo tayari walishakata tiketi.
Chapisha Maoni