0
Katapila likisambaza mchanga katika barabara ya Msimbazi Kariakoo.
Gari la kushindilia mchanga likionekana kazini.
Gari likimwaga maji sehemu iliyomalizika kuwekewa mchanga tayari kwa kuweka lami.
Wafanyakazi wa Kampuni ya kujenga barabara ya magari ya mwendo kasi ya Strabag wakiwa kazini.
UJENZI unaoendelea katika makutrano ya barabara ya Morogoro na Msimbazi Kariakoo upo mbioni kukamilika kufuatia na matengenezo ya ujenzi huo kuoneka ukienda kwa kasi.
Kamera yetu leo imefanikiwa kunasa baadhi ya picha zinazoonesha ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea kwa kasi kufuatia magari ya kutengeneza barabara yakiwa kazini na wafanyakazi wa kampuni ya Strabag wakionekana wakishughulika.
TORI: DENIS MTIMA/GPL

Chapisha Maoni

 
Top