
STAA wa
muziki Naija, Yemi Alade huenda amempata ‘Johnny’ baada ya tetesi
kusambaa kuwa ameangukia penzi la dogodogo ‘serengeti boi’ aliyejulikana
kwa jina la Fasesin Ayobami ‘Ay-B.’

Fasesin Ayobami ‘Ay-B.’ anayedaiwa kuwa na uhusiano na Yemi Alade.
Jalada
zima linafunguka kuwa Yemi kwa sasa hasikii haozi kwa dogo huyo ambaye
pia ni msanii wa muziki anayekuja kwa kasi na kuonesha hivyo
wameshirikiana katika wimbo wa kimahaba uitwao Like You.
Dogo huyo alipoulizwa kuhusiana na Yemi, alikanusha kwa kusema;
Dogo huyo alipoulizwa kuhusiana na Yemi, alikanusha kwa kusema;
“Ni
vigumu sana kumponda mtu kama Yemi, anastahili kila aina ya tahadhari,
ni kama ndugu yangu yaani uhusiano wa kaka na dada na siyo mpenzi wangu
hivyo siwezi kumponda kwa lolote. (kilonge)
Chapisha Maoni