Bondia Francis Cheka kulia akipambana na Kiatchai Singwancha wakati
wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda
kwa T.K.O ya raundi ya nane
Bondia Francis Cheka kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde
na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa
wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O
ya raundi ya nane
Bondia Shabani Kaoneka kulia akimtupia konde la nguvu Zumba kukwe
wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kaoneka
alishinda mpambano uho kwa point
Bondia Seleman Zugo kushoto akipambana na Twaha Kiduku wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila akiwa na wadau wa masumbwi
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo0 wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila
'Super D' kulia akiwa na wadau mbalimbali akiwemo kaka yake wa pili
kushoto Shabani Mhamila 'Star Boy' wakishudia mpambano wa cheka

Chapisha Maoni