0
Kesi ya Morsi kusikilizwa Juni 14

Kesi ya Morsi na watuhumiwa wenziwe 10 kusikilizwa ifikapo Juni 14

Rais wa zamani wa Misri, Mohammed Morsi aliechaguliwa kwa misingi ya demokrasia na baadae kupinduliwa na Al Sisi atasikilizwa kwa mara nyingine na mahakama akishikiana na wenzie 10.

Rais Mohammed Morsi alihukumiwa mwezi Septemba na watu wengine 10 kuhatarisha usalama na kuyumbisha uchuni nchini Misri.

Rais Morsi anatuhumiwa pia kuvujisha nyaraka za usalama wa taifa kwa Qatar CHANZO: TRT SWAHILI

Chapisha Maoni

 
Top