MKUTANO WA 25 WA AU YAENDELEA AFRIKA YA KUSINI
Kauli mbiu ya mkutano huo wa 25 ikiwa ni kujitegemea kwa wanawake.
Alhamisi na Ijumaa, mawaziri wa mambo ya nje ndio wanaokutana huku marais wakitarajiwa kukutana mwishoni mwa Juma.
Katika mkutano huo kutazungumziwa suala la kujitegemea kwa wanawake, ugaidi na mizozo inayojiri barani Afrika ikiwemo mzozo wa Burundi.
Chapisha Maoni