Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika Ofisi za
CUF jimbo la Bububu kwa ajili y akurudisha fomu ya kugombea Urais
kupitia CUF
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akirejesha fomu ya
kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua
tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya
Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko
jimbo la Bububu Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamasd akizungumza machache
baada ya kukabidhi fomu ya kugombea Urais.Wakati wa kurejesha fomu hiyo
Maalim Seif amewaambia waandishi wa habari kuwa " Hii ni safari ya
ukombozi wa Zanzibar" na anataraji uchaguzi wa 2015 uwe wa amani kuliko
ule wa 2010. (Picha na Hassan Hamad, OMKR)
Chapisha Maoni