Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo
la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani
humo Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili
ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama
hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.Picha zote na John
Badi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo
la Mtama, Bernard Membe (wa pili kushoto) na mkewe Dorcas (kushoto)
wakifuatilia kwa makini jinsi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa
Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya
kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama
hicho, katika Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, ambapo aliweza
kupata wadhamini zaidi ya 300.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo
la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akifuatilia kwa makini jinsi
wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia
saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, katika Ofisi ya CCM mkoani
humo Juni 08.2015, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.
Sehemu ya umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa
Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, kwa
ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza
kupata wadhamini zaidi ya 300.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo
la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) wa Mtwara, waliofika kwenye Ofisi ya CCM Mtwara mjini
Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho,
ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500.
Katibu wa CCM Mtwara mjini, Modesta Mwaya akimkabidhi Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard
Membe (kulia), fomu zilizotiwa saini na wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) wa Mtwara mjini, waliofika kwenye Ofisi hizo Juni
08.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 500.
Sehemu ya umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtwara,
waliofika kwenye Ofisi ya CCM Mtwara mjini Juni 08.2015, kwa ajili ya
kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 500.
Chapisha Maoni