MUIGIZAJI MKONGWE WA FILAMU AAGA DUNIA
Christopher Lee aliwahi kupelekwa katika hospitali ya Chelsea na Westminster mjini London siku ya Jumapili baada ya kupata matatizo ya kupumua.
Christopher Lee alikuwa ni muigizaji anayetambulika kote duniani kwa kuigiza katika filamu mbalimbali maarufu kama vile Frankenstein, Dracula, Star Wars, Hobbit, The Lord of The Rings na nyinginezo.CHANZO :TRT SWAHILI
Chapisha Maoni