ULAYA WATAKA KIONGOZI WA FIFA KUCHAGULIWA HARAKA
Baada ya kupokea kwa moyo mkunjufu, bunge la Ulaya limetowa wito kwa shirika la FIFA likilitaka kuchagua kwa haraka kiongozi atakae wakilisha na kuongoza shirika hilo.
Bunge la Ulaya lilipitisha mswada unaoomba tume ambayo inasimamia uchunguzi wa madai ya rushwa katika shirika la FIFA kufanya haraka ilikupatikane suluhu.
Chapisha Maoni