0
Wahamiaji haramu wahamishwa na Polisi Italia
Wahamiaji haramu Vintimille wahamishwa kwa nguvu na Polisi wa Italia
Wahamiaji haramu waliokuwa wakita kambi chini ya daraja mpakani mwa Ufaransa na Italiawamehamishwa kwa nguvu na Polis iwa Italia mapema asubuhi.
Wahamiaji hao wamesababisha mvutano bain aya Ufaransa na Italia.
Baadhi ya wahamiaji hao walikuwa wakilala chini ya daraja walihamishwa na magari ya shirika la msalaba mwekundu.CHANZO TRT SWAHILI

Chapisha Maoni

 
Top