


Mfanyikazi mmoja katika kiwanda cha
kutengeza magari aina ya Volkswagen nchini Ujerumani amefariki baada ya
roboti kum'beba na kumuangusha katika chuma
Alikuwa akifanya kazi miongoni mwa wafanyikazi wa kandarasi wa kuiweka roboti hiyo wakati ilipomkamata kulingana na na kampuni hiyo ya Kutengeza gari ya ujerumani.
Hatahivyo Heiko Helwig amelaumu makosa ya binadaamu kama sababu ya tukio hilo badala ya roboti hiyo.Roboti hiyo hutumiwa kubeba vipuri katika kampuni hiyo.
Chapisha Maoni