
Na BBC Swahili
Waandamanaji huko Paraguay , wamevamia majengo ya bunge la nchi hiyo na kuliwasha moto.
Wanapinga
hatua ya bunge la senate la nchi hiyo kukutana kwa faragha na
kupitisha mswada wa kufanyia marekebisho kipengee cha katiba ya nchi
hiyo,kitakachomruhusu Rais Horacio Cartes kuwania muhula wa pili
madarakani.
Chapisha Maoni