Maandalizi
ugawaji wa mashine kwa ajili ya kuandikisha wananchi katika daftari la
wapiga kura kwa Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika leo Mei 29,
2015 zaidi ya Biometric Voter Registration (BVR) zipatazo 1492 zinaanza
kusambazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Kuanzia mapema Alfajiri
Kanda ya Tano ni Mikoa ya Mara, Arusha, Manyara na Kilimanjaro.
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi
-
Na MWANDISHI WETU
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
Saa 3 zilizopita
Chapisha Maoni