Mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Chaurembo Palasa kushoto akimkabidhi mtoto Salim Mponda kifuta jasha ambacho kilitolewa na mashabiki wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala baada ya kuonesha shoo safi ya ngumi
Bondia Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond Mbwago wakati wa mpambano uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam Bwago alishinda kwa point

Bondia Raymond Bwago kutoka Super D Boxing Club iliyopo shule ya Uhuru akinyooshwa mkono juu na refarii Ally Bakari baada ya kumgalagaza Omari Mwezi katika mpambano wa raundi nne
Chipkizi Salim Mponda akipiga ngumi ya kuingia ndani mwenzake Hemed Mrema wakati wa mpambano wa shoo uliofanyika katika ukumbi wa panandi panandi jumamosi
Mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Chaurembo Palasa kushoto akimkabidhi mtoto Salim Mponda kifuta jasha ambacho kilitolewa na mashabiki wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala baada ya kuonesha shoo safi ya ngumi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Chapisha Maoni