Utawala katika jimbo la Ohio nchini
marekani umetoa wito wa kutaka kuwepo utulivu baada ya polisi mmoja
kuondolewa mashtaka yanayohusiana na kesi ambapo akiwaua wapenzi wawili
mjini Cleveland miaka mitatu iliyopita.
Polisi huyo alifyatua jumla ya risasi 15 kupitia kwa kioo cha mbele cha gari lao baada ya jumla ya magari 62 ya polisi kulifuata kwa kasi kimokosa gari lao.
Chapisha Maoni