0
31 wajeruhiwa katika shambulio bungeni Afghanistani

Watu 31 wajeruhiwa, wanamgambo 7 wa Taliban wauawa katika shambulio bungeni Afghanistani

Wanamgambo wa Talibani wameendesha shambulio dhidi ya bunge la Afghanistani na kuwajeruhi watu zaidi ya 30.
Taarifa zinafahamisha kuwa, wanamgambo 7 wa Taliban waliuawa na Polisi katika makabiliona.
Wanamgambo wa Talibani wameendesha shambulio dhidi ya bunge la Afghanistan na kuwajeruhi watu zaidi ya 30.
Taarifa zinafahamisha kuwa, wanamgambo 7 wa Taliban waliuawa na Polisi katika makabiliona.
Wanamgambo 7 waliuawa katika mapambano baada ya kulipuwa mabomu walikuwa walipovamia bunge mapema asubuhi.
Waziri wa afya wa Afghanistan, Firozuddin Feroz aliliambia shirika la habari kuwa hospitali jijini Kaboul liliwapokea majeruhi. TRT SWAHILI

Chapisha Maoni

 
Top