Ukipita
barabarani ni kawaida kukutana na majina ya magari yaliyozoeleka kama
Toyota, BMW, Benz, Suzuki, Honda… Hayo yote ni magari ambayo viwanda
vyake viko nje ya Africa.
Lakini
ninayo good news kwamba huenda tukakutana na brand za magari
yanayozalishwa hapahapa Afrika na ni magari ya kifahari kabisa ambayo
unaweza kufananisha na Benzna BMW!
Gari hii imetengenezwa Ghana, inaitwa Kantanka 4×4.. picha zake kuanzia inavyoanza kutengenezwa mpaka ilivyokamilika ziko hapa.
Chapisha Maoni