Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atawa wito kwa serikali ya Misri kukomesha hukumu ya kifo
Ban Ki moon afahamisha kuwa hukumu za vifo huhatarisha hali ya utulivu nchini Misri baada ya mahakama kumuhukumu aliekuwa rais wa Misri Mohammed Morsi.
Ban Ki moon alionesha wasiwasi wake baada y aya mahakama kuchukuwa uamuzi wa kumuhukumu kifo Morsi pamoja na wenziwe 100 wafuasi wa vuguvugu la Muslim BrotherhoodIjumanne.
Ban Ki moon alitowa wito kwa Misri akiitaka kuheshimu azimio la kimataifa kinalo husu haki za binadamu na kukomesha adhabu ya kifo.
Ban Ki moon alitowa wito kwa Misri akiitaka kuheshimu azimio la kimataifa kinalo husu haki za binadamu na kukomesha adhabu ya kifo.
Msemaji wa Ba Ki moon alifahamisha kuwa hukumu ya kifo ni kinyume na haki za binadamu.
Chapisha Maoni