BURUNDI: UPINZANI KUTOSHIRIKI KATIKA UCHAGUZI
Charles Nditiji, mmoja wa wakilishi wa vyama vya upinzani nchini humo ndie alietoa taarifa hiyo.
Uchaguzi wa wabunge na ule wa madiwani unatarajiwa kufanyika Jumatatu Juni 29 huku hali ya usalama ikiripotiwa kuyumba jijini Bujumbura.
Huenda uchaguzi wa wabunge na ule wa serikali za mitaa ukafanyika kwa pamoja ifikapo Julai 31 huku ule wa rais kufanyika Agost 15.
Rais Pierre Nkurunziza kwa upande wake kufungua ramsi kampeni mkoani Kirundi nchini Burundi.
Ikiwa zimesalia siku chache ili kufanyike uchaguzi nchini Burundi, mpatanishi wa mzozo wa Burundi alipendekeza kuahirishwa kwa mara nyingine kwa uchaguzi huku chama tawala cha CNDD-FDD baada ya kushiri katika mkutano siku moja, Alkhamis chama tawala hakikushiki katika mkutano na kufahamisha kuwa kinajihusisha na kampeni za uchaguzi.TRT SWAHILI
Chapisha Maoni