JENGO la ghorofa moja la skuli mpya ya Michakaini wilaya ya Chake Chake
Pemba, ambalo lilijengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan,
kabla ya balozi wa nchi hiyo, nchini Tanzania Masaharu Yoshida
kulifungua rasmi.
BALOZI wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida akiwa na mwenyeji
wake, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, wakikata
utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la ghorofa moja la skuli ya
Michakaini lililojengwa na serikali ya watu wa Japan.
MWENYEKITI wa kamati ya skuli ya Michakaini wilaya ya Chake Chake
Pemba, Nassor Harith akiwa na balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu
Yoshida, wakiitembelea skuli mpya ya ghorofa moja, liliojengwa kwa
ufadhili wa serikali ya watu wa Japan.
WANAFUNZI wa skuli ya Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba,
wakimsikiliza balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida,
akizungumza nao mara baada ya kulifungua jengo jipya la ghorofa moja
skulini hapo lililojengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan.

BAADHI
ya viongozi wa serikali kisiwani Pemba, waliohudhuria hafla ya ufunguzi
wa skuli mpya ya ghorofa moja yenye vyumba saba vya kusomea, iliojengwa
kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.