Mwana mkubwa wa kiume wa mke wa rais
wa Zimbabwe Grace Mugabe amepatikana na hatia ya kuua bila kukusudia na
kupigwa faini ya dola 800.
''Ninajuta na ningependa kuomba msamaha kwa kitendo hicho'', Kijana huyo wa miaka 31 aliimbia mahakama.
Hakimu huyo alisema kuwa aliamua kuifutilia mbali leseni ya kijana huyo na kumpatia hukumu ya kifungo cha jela lakini akabadilisha nia yake kutokana na majuto yake.
Douglas Chikwekwe amesema kuwa hatua kwamba Goreraza alitekeleza kitendo hicho kwa mara ya kwanza pia kuliathiri uamuzi wake.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.