Mchezaji wa klabu ya Real Madrid ameshika nafasi yakwanza katika orodha mpya ya wachezaji matajiri zaidi Duniani akiwa na utajiri wa Paundi Million 152 akiwa amemzidi paundi million 7 mshindani wake mkubwa Lionel Messi wa Fc Barcelona mwenye utajiri wa paundi million 145
Baada yakumuona Ronaldo akiisaidia Real Madrid mwaka 2014 kubeba kombe la ligi la mabingwa ulaya UEFA, kisha kupewa mchezaji bora wa dunia kwa mara tatu ya kisha, sasa ameongeza utajiri wake dhidi ya mshindani wake, Lionel Messi
Kwa mujibu wa list hii iliotolewa katika makala ya Wachezaji Matajiri kwenye mtandao wa Goal.com unaeleza kwamba Messi na Ronaldo wanafanikiwa zaidi kuliko mchezaji yeyote anaecheza mpira wa kimataifa
Utajiri hii ni kutokana na Udhamini, Mishahala, Posho pamoja na Bonus.
List Nzima Hii Hapa (ruksa kushare)
1. Cristiano Ronaldo £152.3
2. Lionel Messi £145m
3. Neymar £97.9m
4. Zlatan Ibrahimovic £76.1m
5. Wayne Rooney £74.6m
6. Kaka £69.6m
7. Samuel Eto'o £63.1m
8. Raul £61.6m
9. Ronaldinho £60.2m
10. Frank Lampard £58m
Huku kwa uchache wachezaji wengine walioshika nafasi tofauti ndani ya top 20
12 - Rio Ferdinand £52.6m
14 - Steven Gerrad £46.6m
15 - Yaya Toure £44.9m
19 - Sergio Aguero £42m
20 - John Teryy £40.6m
Chapisha Maoni