Marekani inasema kuwa imewaamisha
wafungwa sita raia wa Yemen waliokuwa wamezuiliwa kwa miaka mingi katika
gereza la Guantanamo kwenda nchini Oman.
Yameishukuru Oman kwa kujitolea kuunga mkono jitihada za marekani za kufunga gereza la Guatanamo.
Rais Obama alikuwa ameahidi kufunga gereza la Guantanamo wakati akifanya kampeni mwaka 2008 lakini hajafanya hivyo.
Hata hivyo utawala wake umepunguza idadi ya wafungwa kwa nusu.
Marekani yahamisha 6 kutoka Guantanam. CHANZO BBC SWAHILI
Chapisha Maoni