RAIA 10 WAUAWA KATIKA SHAMBULIO LA HOUTHIS YEMEN
Wanamgambo wa Daesh walishambulia kwa silaha nzito katika mitaa inayopatikana Mamdara.
Raia hao 10 walifariki baada ya eneo lao kupigwa mabomu na Houthis kusini mwa Yemen.
Taarifa zinafahamisha kuwa wanamgambo wa Houthis wanaendesha mashambulizi dhidi ya baadhi ya tarafa za jiji la Aden. CHANZO: TRT SWAHILI
Chapisha Maoni