Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo
la Mtama, Bernard Membe akionyesha fomu zilizojazwa na wanaCCM wa Mkoa
wa Dar es Salaam zaidi ya 1,500 kwa ajili ya kumdhamini ili aweze
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha
Mapinduzi (CCM), baada ya kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya
Kinondoni, Athuman Shesha (kulia) katika Ukumbi wa Vijana Kinondoni Juni
25.2015. Kushoto ni mkewe Mama Dorcas Membe. Picha zote na John Badi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo
la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) waliofurika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni mkoani Dar
es Salaam Juni 25.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM
zaidi ya 1,500 walimdhamini.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo
la Mtama, Bernard Membe akiagana na umati wa wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) waliofurika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni mkoani Dar
es Salaam Juni 25.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM
1,500 walimdhamini.

Chapisha Maoni