Mkurugenzi wa Miss Africa USA na Miss Cameroon Lady Kate akipata
picha ya pamoja na mkurugenzi wa Miss Tanzania USA Ma Winny Casey
(kulia) siku Lady Kate alipomtambulisha Ma Winny Casey kwa Balozi wa
Cameroon nchini Marekami kwenye hafla ndogo iliyofanyika nyumbani kwa
Mhe.Jpseph B. C. Foe Atangana
Mkurugenzi wa Miss Africa USA na Miss Cameroon Lady Kate akiongea machache kwenye hafla hiyo.
Walimbende wa Miss USA Pageant wakimsikiliza mmoja wa waratibu wa mashindano hayo.
H.E. Joseph B. C. Foe Atangana Balozi wa Cameroon nchini Marekani akiongea machache kwenye hafla hiyo fupi.
Picha ya pamoja
Chapisha Maoni