Mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika umefunguliwa Alhamisi Juni 11 jijini Johannesburg.
Kauli mbiu ya mkutano huo wa 25 ikiwa ni kujitegemea kwa wanawake.
Alhamisi na Ijumaa, mawaziri wa mambo ya nje ndio wanaokutana huku marais wakitarajiwa kukutana mwishoni mwa Juma.
Katika mkutano huo kutazungumziwa suala la kujitegemea kwa wanawake, ugaidi na mizozo inayojiri barani Afrika ikiwemo mzozo wa Burundi.
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi
-
Na MWANDISHI WETU
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
Saa 3 zilizopita
Chapisha Maoni