Baada ya kazi, Mr Philip Lewis (58) alifika kwenye Esso garage ambapo alikua na dhumuni la kununua bia ili kutoa uchovu, ila alishindwa kupata kinywaji chake baada ya muhudumu msaidizi kukataa kumpatia baada ya kushindwa kuonesha kitambulisho kitakacho kinchoonesha umri wake, japo Printer Philip alikua na ndevu na mwivi kichwani...
Kwa kuwa Mr Lewis hakuwa na kitambulisho chochote alilazimika kuondoka bila kitu.
"Sikuelewa kama nilikua na muonekano kama nakaribia miaka 25, ila ukweli nikwamba naingia miaka 59 mwezi sita, na huwa sitembei na leseni yangu ya udereva" Alisema Mr Lewis
"kulikua na foleni ndefu sana nyuma yangu, na mie nimetumia zaidi ya£2,000 kwa mwaka kwenye mafuta na magazeti, ila sikustaili nilichofanyiwa" Aliongezea Mr Lewis
Mkurugenzi wa garage hio amemuomba radhi Mr Lewis na wametoa ahadi ya kumpigia simu na kuzawadia Mr Lewis kutokana na usumbufu uliojitokeza..
Chapisha Maoni