Christopher Frank Carandini Lee, ambaye ni muigizaji mkongwe wa filamu kutoka Uingereza ameripotiwa kufariki katika akiwa na umri wa miaka 93.
Christopher Lee aliwahi kupelekwa katika hospitali ya Chelsea na Westminster mjini London siku ya Jumapili baada ya kupata matatizo ya kupumua.
Christopher Lee alikuwa ni muigizaji anayetambulika
kote duniani kwa kuigiza katika filamu mbalimbali maarufu kama vile
Frankenstein, Dracula, Star Wars, Hobbit, The Lord of The Rings na
nyinginezo.CHANZO :TRT SWAHILI
TTB, TASOTA WATAKIWA KUTUMIA AFCON KUTANGAZA UTALII TANZANIA
-
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Harriet
Rushekya, amewataka wadau wa sekta ya utalii na usafiri kuimarisha
ushirikiano kati ya...
Saa 5 zilizopita
Chapisha Maoni