SERIKALI YA MSUMBIJI YAHALALISHA NDOA ZA JINSIA MOJA, UTOAJI UJAUZITO
Uhusiano wa kimapenzi baina ya watu wa jinsia mojo sio tena kosa la jinai nchini Msumbiji baada ya kupitishwa kwa kanuni mpya ya sheria.
Kanuni hiyo imepitishwa Jumatatu Juni 29 ambayo inahalalisha uhusiano wa kimapenzi kwa watu wa jinsia moja na kuhalalisha utoaji ujauzito.TRT SWAHILI
Chapisha Maoni