Staa
wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amefunguka kuwa hapendi mtoto wake
aliyejifungua hivi karibuni aitwaye Cookie,awe mwigizaji wa filamu kama
yeye.
Akizungumza na Clouds Fm,alisema kuwa atakachofanya kama mzazi
anataka mtoto wake asome na kama akiwa mwigizaji basi iwe kama kazi
yake ya ziada siyo anayoitegemea kwenye maisha yake.
JESHI LA POLISI LAPONGEZWA KWA KUIMARISHA ULINZI KARIAKOO
-
Na Mwandishi wetu ,Dar es salaam
KUTOKANA na uvunjifu wa amani na uharibifu wa miundombinu uliojitokeza kwa
siku nne hadi tano zilizopita kwa baadhi y...
Saa 8 zilizopita
Chapisha Maoni