Super
model ambaye yupo gelezani kwa sasa kutokana na ishu ya kukamatwa na
madawa ya kulevyia nchini China Jack Patric . Awali mwana dada huyo
aliwai kuwa na mahusiano na mwanamuziki wabongo fleva Juma Jux , but
baada ya mwana dada huyo kutupwa garezani kwa mika kumi ,Jux ameamua
kunzisha mahusiano na
Vanessa Mdee huku akiwa wana ponda raha day after
day ,wali jux alinukuliwa na kitu kimoja cha redio kuwa hatakama mpenzi
wake Jack yupo jela ila bado atalilinda penzi lao mapka akaamua
kumtungia nyimbo ‘’Nitasubiri’’ je Jux ameamua kumsaliti Jack nakuwa na
Vanessa au kaona so kuwa na Jack kisa kapatwa na skendo hiyo??? kwa
mfao Jack akitoka jera atakuwa na nanafasi gani kwa jux au Vanessa
atapigwa chini ??? Jack awalii aliwia kuolewa na mwanume afahamikaye
kwa jinala Fundikila but ndoa yao iliweza kuvunjika kutokana kwa mwana
dada huyo kumsaliti mumewe na Jux hadi kupelekea kila mtu kushika time
yake .Je kwa hali ya kawaida Jux ameonyesha kutokua mvumilivu nakuvunja
ahadi au yupo na Vanessa kwa short time ???
source Darcitycenter
Chapisha Maoni