Kaimu
Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,
Dk.Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar
es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu magonjwa
yasiyoambukiza. Kulia ni Meneja Mradi Shirikisho la Vyama vya Magonjwa
Yasiyo ya Kuambukiza (TANCDA
Kaimu
Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,
Dk.Auson Rwehimbiza (kulia), akimuelekeza jambo Ofisa Habari wa Wizara
ya Afya na Ustawi wa Jamii, Catheline Sungura wakati wa semina hiyo.
Ofisa Habari wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Catheline Sungura (kushoto), akielekeza jambo kwenye semina hiyo.(VICTOR)
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Semina ikiendelea.
Chapisha Maoni