Maafisa nchini Ujerumani wanasema
kuwa idadi inayozidi kuongezeka ya wakimbizi wanaowasili kutoka nchini
kama syria watasaidia kujaza pengo la ukosefu wa wataalamu.
Wakimbizi 350,000 watarajiwa kutafuta ajira nchini ujerumani mwaka huu.
Ujerumani hupokea maombi mengi ya hifadhi kuliko nchi yoyote katika muungano wa ulaya na idadi hiyo inazidi kuongezeka.CHANZO: BBC SWAHILI
Chapisha Maoni