Zaidi ya watu mia wakiwemo wanawake na watoto wameuawa na wengine wengi wamejeruhiwa katika shambulizi la angani katika mji wa Hawiji kijiji cha Kirkuk kusini mwa Iraq.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwanahabari wa Al Jazeera Nasser Shadid, alisema kuwa mashambulizi hayo yalilenga soko kuu na daraja lililoko mjini.
Kwa taarifa kutoka kwa wananchi wa kijiji hicho, kuwa wanaamini kuwa
shambulio hilo limefanywa na ndege za kijeshi zilizotengenezwa na Urusi
aina ya “Sukhoi.”
CHANZO TRT SWAHILI
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi
-
Na MWANDISHI WETU
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
Saa 3 zilizopita
Chapisha Maoni