Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Zanzibar (CHAUMMA)
Faki Salum Abdalla akitoa salamu za Chama hicho wakati wa Mkutano na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wa kumtambulisha Mgombea Urais wa
Zanzibar kupitia chama hicho katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye
ulemavu Kikwajuni Mjini Zabnzibar.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza mgombea nafasi ya Rais wa
Zanzibar kupitia CHAUMMA katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye ulemavu
Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA Ali Omar Juma akitowa wasfu wa mgombea nafasi
ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama hicho katika mkutano na waandishi wa
habari uliofanyika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Mjini
Zanzibar.
Mgombea Kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma
(CHAUMMA) Mohd Masoud Rashid akijitambulisha na kueleza sera zake mbele
ya waandishi wa habari katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye Ulemavu
Kikwajuni, Mjini Zanzibar. (kulia) mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho Issa Abass na (kushoto) Katibu
Mkuu Ali Omar Juma. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Znz.
Chapisha Maoni