ANAITWA Sarah Massey mama wa watoto wawili mkazi wa Chicago nchini Marekani, amejitokeza kama mwanamke mwenye umbo kubwa zaidi sehemu ya makalio.
Sarah
ambaye amewahi kuvunja choo mara tu baada ya kukikalia, ana mzunguko wa
futi 7 ambapo mara kadhaa amekuwa akipata shida kupita mlangoni.
Hata
hivyo mwanamama huyu mwenye umri wa miaka 33 anasema anajivunia kuwa
mmoja wa wanawake wenye ‘figa’ la kufa mtu hapa ulimwenguni.
Chapisha Maoni