Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willibroad Slaa
akiwa kwenye gari katika msafara wa mapokezi kwa ajili ya mkutano wa
hadhara wa kuwatambulisha Mbunge wa Kahama, James Lembeli na Mbunge wa
Viti Maalumu, Ester Bulaya waliohamia Chadema wakitokea CCM jana jijini
Mwanza.
Msafara ukiendelea kuelekea uwanjani sasa
Mbunge
wa Jimbo la Kahama, mkoani Shinyanga, James Lembeli (kushoto) na Naibu
Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, John Mnyika, wakiwapungia wananchi mikono
walipokuwa kwenye msafara wa mapokezi ya Viongozi Wakuu wa Chama hicho
wakiwasili jijini Mwanza kwa ajili ya mkutano mkubwa wa hadhara.
Chapisha Maoni