Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye
akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na
kuwaambia kuwa Mkutano Mkuu wa CCM utafanyika leo saa tatu usiku na
zoezi linaloendelea sasa ni upigaji kura za kupata majina matatu
yatakayopelekwa kwenye mkutano mkuu ili kupatikana moja la mgombea wa
Urais kwa kupitia CCM.
TTB, TASOTA WATAKIWA KUTUMIA AFCON KUTANGAZA UTALII TANZANIA
-
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Harriet
Rushekya, amewataka wadau wa sekta ya utalii na usafiri kuimarisha
ushirikiano kati ya...
Saa 5 zilizopita

Chapisha Maoni