Wema
Sepetu achukuwa fomu ya ubunge rasmi hapo jana kugombea nafasi ya
uwakilishi bungeni viti maalum,pichani akiwa na mpambe wake Petiman
Wakuache.
SERIKALI YAWAONDOA HOFU WAZAZI KUHUSU MTAALA MPYA WA ELIMU MSINGI 2027...
-
NA WILLIUM PAUL, ROMBO.
SERIKALI imejipanga kikamilifu kutekeleza mikakati ya kuhakikisha wanafunzi
wanaomaliza darasa la saba (mtaala wa zamani) na wale ...
Saa 2 zilizopita
Chapisha Maoni