
Taarifa
iliyotufikia chumba cha habari hivi punde, inaeleza kuwa Mwanamuziki wa
siku nyingi wa Muziki wa Dansi hapa nchini, Ramadhan Masanja "Banza
Stone" amefariki dunia mchana huu nyumbani kwao Sinza karibu na Lion
Hotel jijini Dar es salaam.
.(VICTOR)
Chapisha Maoni