Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watanzania waishio Switzerland
katika hoteli ya Intercontinental jijini Geneva-Julai 16, 2015.
Watanzania waishio Switzerland.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
ofisi ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva jana
baada ya kuzungumza nao na kisha kupata futari katika Hoteli ya
Intercontinental jijini Geneva Uswisi.(picha na Freddy Maro)
IMECHOTWA KWENYE MTANDAO NA VICTOR SIMON
Chapisha Maoni