
Katibu
Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa akitoa ada ya shilingi
laki moja kwa ajili ya fomu ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM
katika Jimbo la Iringa Mjini. (Picha na Friday Simbaya)

Katibu
Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa akikabidhiwa fomu ya
kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika Jimbo la Iringa Mjini.
(Picha na Friday Simbaya)(P.T)

Katibu
Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Dk. Yahaya Msigwa akiongea na wanachama
kwa kuwaelezea nia yake ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika
Jimbo la Iringa Mjini katika Ukumbi Highland. (Picha na Friday Simbaya)

Mwanachama
mmoja Mary Kowi akimuuliza swali Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa,
Dk. Yahaya Msigwa kwamba endapo atabahatika kuteuliwa na chama
kupeperusha bendera na kushinda ubunge kupitia tiketi ya CCM katika
Jimbo la Iringa Mjini katika uchaguzi mkuu mwaka huu, atawafanyia nini
watoto yatima na wajane. Dk. Msigwa ametia nia na kuchukua fomu.(Picha
na Friday Simbaya)

Sehemu ya wanachama waliokuja kumsikiliza Dk. Msigwa wakati akitia nia ya kugombea ubunge Iringa mjini
Chapisha Maoni