#Obama in Kenya ndilo neno linalotawala mitandao ya kijamii nchini Kenya huku rais huyo akitarajiwa kulitembelea taifa hilo.
''Ana mda mchache sana kwa hivyo basi atakuwa nairobi pekee'',alisema bwana Godec akizungumza na runinga ya KTN.
Bibiye Obama Sarah Obama alikuwa amejiunga na wakaazi wa Kogelo akimtaka Obama kuwatembelea kulingana na ripoti za kituo cha habari cha Capital fm.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.