Rais Assad atangaza msamaha kwa wanajeshi walioasi jeshi
Assad alisema kuwa msamaha utatolewa kwa wanajeshi watakaojisalimisha.
kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la habari la Sana, lilifahamisha kuwa Assad ametoa muda wa mwezi mmoja kwa wanajeshi walioasi waishio nchini Syria na miezi miwili kwa wale waishio nje ya Syria.
Chapisha Maoni