0



https://ichef-1.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/0871/production/_95416120_hi038787414.jpgWaandamanaji walichoma moto bunge nchini Paraguay 
 Na BBC Swahili
Waandamanaji huko Paraguay , wamevamia majengo ya bunge la nchi hiyo na kuliwasha moto.
Wanapinga hatua ya bunge la senate la nchi hiyo kukutana kwa faragha na kupitisha mswada wa kufanyia marekebisho kipengee cha katiba ya nchi hiyo,kitakachomruhusu Rais Horacio Cartes kuwania muhula wa pili madarakani.




Chapisha Maoni

 
Top